1 Chronicles 16:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Furahini enyi mbingu na dunia! Yaambieni mataifa, “Mwenyezi-Mungu anatawala!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; semeni katika mataifa, “Mwenyezi Mungu anatawala!”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie; Na waseme katika mataifa, Bwana ametamalaki;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Furahini enyi mbingu na dunia! Yaambieni mataifa, “Mwenyezi-Mungu anatawala!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; katikati ya mataifa semeni, “BWANA anatawala.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; semeni katikati ya mataifa, “ bwana anatawala!”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie; Na waseme katika mataifa, BWANA ametamalaki;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Furahini enyi mbingu na dunia! Yaambieni mataifa, “Mwenyezi-Mungu anatawala!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo mbingu na zifurahi, nchi nayo na ipige shangwe! Nako kwa wamizimu na waseme: Bwana ni mfalme!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mbingu na zifurahi, nchi na ishangilie; Na waseme katika mataifa, BWANA ametamalaki;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufurahi enyi mbingu na dunia! Muambie mataifa: “Yawe anatawala!”