1 Chronicles 16:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndipo miti yote msituni itaimba kwa furaha mbele ya Mwenyezi-Mungu anayekuja naam, anayekuja kuihukumu dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha miti ya msituni itaimba, itaimba kwa furaha mbele za Mwenyezi Mungu, kwa maana anakuja kuihukumu dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndipo miti yote msituni itaimba kwa furaha mbele ya Mwenyezi-Mungu anayekuja naam, anayekuja kuihukumu dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha miti yote ya msituni itaimba kwa furaha, itaimba mbele za BWANA kwa maana anakuja kuihukumu dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha miti ya msituni itaimba, itaimba kwa furaha mbele za bwana, kwa maana anakuja kuihukumu dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha, Mbele za BWANA, Kwa maana anakuja kuihukumu nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndipo miti yote msituni itaimba kwa furaha mbele ya Mwenyezi-Mungu anayekuja naam, anayekuja kuihukumu dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakuwa, nayo miti yote ya mwituni imshangilie Bwana, kwani ndiye atakayekuja kuihukumu nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo miti yote ya mwituni iimbe kwa furaha, Mbele za BWANA, Kwa maana anakuja aihukumu nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu miti yote katika pori itaimba kwa furaha mbele ya Yawe anayekuja kuihukumu dunia.