1 Chronicles 16:37 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, mfalme Daudi akawaacha Asafu na nduguze Walawi mahali walipoliweka sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya huduma zinazotakiwa mbele ya sanduku kila siku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akamwacha Asafu na wenzake mbele ya Sanduku la Agano la Mwenyezi Mungu, ili wahudumu humo mara kwa mara, kulingana na mahitaji ya kila siku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akawaacha huko, mbele ya sanduku la agano la Bwana, Asafu na nduguze, ili watumike mbele ya sanduku daima, kila siku kama ilivyokuwa kazi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, mfalme Daudi akawaacha Asafu na nduguze Walawi mahali walipoliweka sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya huduma zinazotakiwa mbele ya sanduku kila siku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akamwacha Asafu na wenzake mbele ya Sanduku la Agano la BWANA ili wahudumu humo mara kwa mara, kulingana na mahitaji ya kila siku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akamwacha Asafu na wenzake mbele ya Sanduku la Agano la bwana ili wahudumu humo mara kwa mara, kulingana na mahitaji ya kila siku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akawaacha huko, mbele ya sanduku la Agano la BWANA, Asafu na nduguze, ili watumike mbele ya sanduku daima, kila siku kama ilivyokuwa kazi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, mfalme Daudi akawaacha Asafu na nduguze Walawi mahali walipoliweka sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya huduma zinazotakiwa mbele ya sanduku kila siku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko kwenye Sanduku la Agano la Bwana Dawidi akamwacha Asafu na ndugu zake, watumikie mbele ya hilo Sanduku pasipo kukoma wakifanya kazi ipasayo kila siku moja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akawaacha huko, mbele ya sanduku la agano la BWANA, Asafu na nduguze, ili watumike mbele ya sanduku daima, kila siku kama ilivyokuwa kazi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu, mufalme Daudi akawaacha Asafu na wandugu zake Walawi pahali walipoliweka Sanduku la Agano la Yawe, kwa ajili ya kazi zinazotakiwa mbele ya sanduku kila siku.