1 Chronicles 16:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Obed-edomu, mwana wa Yeduthuni, pamoja na wenzake sitini na wanane waliwasaidia. Obed-edomu mwana wa Yeduthuni na Hosa walikuwa walinzi wa malango.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akamwacha Obed-Edomu pamoja na wenzake sitini na wanane wahudumu pamoja nao. Obed-Edomu mwana wa Yeduthuni na pia Hosa walikuwa mabawabu wa lango.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Obed-edomu, pamoja na ndugu zao, sitini na wanane; Obed-edomu na mwana wa Yeduthuni, na Hosa, wawe mabawabu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Obed-edomu, mwana wa Yeduthuni, pamoja na wenzake sitini na wanane waliwasaidia. Obed-edomu mwana wa Yeduthuni na Hosa walikuwa walinzi wa malango.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akamwacha Obed-Edomu pamoja na wenzake sitini na wanane wahudumu pamoja nao. Obed-Edomu mwana wa Yeduthuni na pia Hosa walikuwa mabawabu wa lango.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akamwacha Obed-Edomu pamoja na wenzake sitini na wanane wahudumu pamoja nao. Obed-Edomu mwana wa Yeduthuni na pia Hosa walikuwa mabawabu wa lango.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Obed-edomu, pamoja na ndugu zao, sitini na wanane; Obed-edomu na mwana wa Yeduthuni, na Hosa, wawe mabawabu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Obed-edomu, mwana wa Yeduthuni, pamoja na wenzake sitini na wanane waliwasaidia. Obed-edomu mwana wa Yeduthuni na Hosa walikuwa walinzi wa malango.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena akamweka Obedi-Edomu pamoja na ndugu zake 68, huyu Obedi-Edomu, mwana wa Yedutuni, na Hosa wawe walinda malango.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Obed-edomu, pamoja na ndugu zao, sitini na wanane; Obed-edomu na mwana wa Yeduthuni, na Hosa, wawe mabawabu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Obedi-Edomu mwana wa Yedutuni, pamoja na wenzake makumi sita na wanane waliwasaidia. Obedi-Edomu mwana wa Yedutuni na Hosa walikuwa walinzi wa milango.