1 Chronicles 16:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfalme Daudi akawaweka kuhani Sadoki na makuhani wenzake kuwa wahudumu wa hema ya Mwenyezi-Mungu iliyokuwa mahali pa kuabudu huko Gibeoni
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akamwacha kuhani Sadoki pamoja na makuhani wenzake mbele ya hema la ibada la Mwenyezi Mungu katika mahali pa juu pa kuabudia huko Gibeoni
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Sadoki kuhani, na nduguze makuhani, mbele ya maskani ya Bwana katika mahali pa juu palipokuwa huko Gibeoni,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfalme Daudi akawaweka kuhani Sadoki na makuhani wenzake kuwa wahudumu wa hema ya Mwenyezi-Mungu iliyokuwa mahali pa kuabudu huko Gibeoni
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akamwacha Sadoki, kuhani, pamoja na makuhani wenzake mbele ya hema ya ibada ya BWANA katika mahali pa juu pa kuabudia huko Gibeoni
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akamwacha kuhani Sadoki pamoja na makuhani wenzake mbele ya hema ya ibada ya bwana katika mahali pa juu pa kuabudia huko Gibeoni
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Sadoki kuhani, na nduguze makuhani, mbele ya maskani ya BWANA katika mahali pa juu palipokuwa huko Gibeoni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfalme Daudi akawaweka kuhani Sadoki na makuhani wenzake kuwa wahudumu wa hema ya Mwenyezi-Mungu iliyokuwa mahali pa kuabudu huko Gibeoni
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mtambikaji Sadoki na watambikaji ndugu zake akawaacha mbele ya Kao la Bwana kule kilimani kwenye Gibeoni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Sadoki kuhani, na nduguze makuhani, mbele ya maskani ya BWANA katika mahali pa juu palipokuwa huko Gibeoni,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufalme Daudi akawaweka kuhani Zadoki na makuhani wenzake kuwa watumishi wa hema ya Yawe iliyokuwa pahali pa kuabudia kule Gibeoni