1 Chronicles 16:40 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ili kutolea Mwenyezi-Mungu sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya sadaka za kuteketezwa daima asubuhi na jioni, kulingana na yote yaliyoandikwa katika sheria ya Mwenyezi-Mungu aliyowaamuru Waisraeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili kutoa sadaka za kuteketezwa kwa Mwenyezi Mungu kwenye madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa mara kwa mara, asubuhi na jioni, sawasawa na kila kitu kilichoandikwa katika Torati ya Mwenyezi Mungu ambayo alikuwa amempa Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ili kumtolea Bwana sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa daima asubuhi na jioni, naam, sawasawa na yote yaliyoandikwa katika torati ya Bwana, aliyowaamuru Israeli;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ili kutolea Mwenyezi-Mungu sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya sadaka za kuteketezwa daima asubuhi na jioni, kulingana na yote yaliyoandikwa katika sheria ya Mwenyezi-Mungu aliyowaamuru Waisraeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili kutoa sadaka za kuteketezwa kwa BWANA kwenye madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa mara kwa mara, asubuhi na jioni, sawasawa na kila kitu kilichoandikwa katika sheria ya BWANA ambayo alikuwa amempa Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili kutoa sadaka za kuteketezwa kwa bwana kwenye madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa mara kwa mara, asubuhi na jioni, sawasawa na kila kitu kilichoandikwa katika Torati ya bwana ambayo alikuwa amempa Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ili kumtolea BWANA sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa daima asubuhi na jioni, naam, kulingana na yote yaliyoandikwa katika Torati ya BWANA, aliyowaamuru Israeli;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ili kutolea Mwenyezi-Mungu sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya sadaka za kuteketezwa daima asubuhi na jioni, kulingana na yote yaliyoandikwa katika sheria ya Mwenyezi-Mungu aliyowaamuru Waisraeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wamtolee Bwana mezani pa kutambikia pasipo kukoma asubuhi na jioni ng'ombe za tambiko za kuteketezwa nzima na kuyafanya yote yaliyoandikwa katika Maonyo ya Bwana, aliyoyaagiza, Waisiraeli wayafanye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ili kumtolea BWANA sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa daima asubuhi na jioni, naam, sawasawa na yote yaliyoandikwa katika torati ya BWANA, aliyowaamuru Israeli;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kwa kutolea Yawe sadaka za kuteketezwa kwa moto juu ya mazabahu ya sadaka za kuteketezwa kwa moto siku zote asubui na magaribi, kulingana na yote yaliyoandikwa katika sheria ambayo Yawe aliyowaamuru Waisraeli.