1 Chronicles 16:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, kila mtu aliondoka kwenda nyumbani kwake; naye Daudi akaenda nyumbani kwake kuibariki jamaa yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha watu wote wakaondoka, kila mmoja akarudi nyumbani mwake, naye Daudi akarudi nyumbani kuibariki jamaa yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha watu wote wakaenda zao kila mtu nyumbani kwake; naye Daudi akarudi ili awabariki watu wa nyumbani mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, kila mtu aliondoka kwenda nyumbani kwake; naye Daudi akaenda nyumbani kwake kuibariki jamaa yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha watu wote wakaondoka, kila mmoja akarudi nyumbani kwake, naye Daudi akarudi nyumbani kuibariki jamaa yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha watu wote wakaondoka, kila mmoja akarudi nyumbani kwake, naye Daudi akarudi nyumbani kuibariki jamaa yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha watu wote wakaenda zao kila mtu nyumbani kwake; naye Daudi akarudi ili awabariki watu wa nyumbani mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, kila mtu aliondoka kwenda nyumbani kwake; naye Daudi akaenda nyumbani kwake kuibariki jamaa yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watu wote wakaenda kila mtu nyumbani kwake, naye Dawidi akazunguka kuubariki mlango wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha watu wote wakaenda zao kila mtu nyumbani kwake; naye Daudi akarudi ili awabariki watu wa nyumbani mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, kila mutu akaondoka kwenda kwake; naye Daudi akaenda kwake kwa kuibariki jamaa yake.