1 Chronicles 16:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alimchagua Asafu kuwa kiongozi wao, akisaidiwa na Zekaria. Yeieli, Shemiramothi, Yehieli, Metithia, Eliabu, Benaya, Obed-edomu na Yehieli, aliwachagua wawe wapiga vinanda na vinubi. Asafu alipiga matoazi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Asafu ndiye alikuwa mkuu wao, akisaidiwa na Zekaria, Yeieli, Shemiramothi, Yehieli, Matithia, Eliabu, Benaya, Obed-Edomu na Yeieli. Hawa ndio wangepiga zeze na vinubi, Asafu angepiga matoazi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asafu mkuu wao, na wa pili wake Zekaria, na Yeieli, na Shemiramothi, na Yehieli, na Matithiya, na Eliabu, na Benaya, na Obed-edomu, na Yeieli, wenye vinanda na vinubi; naye Asafu mwenye kupiga matoazi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alimchagua Asafu kuwa kiongozi wao, akisaidiwa na Zekaria. Yeieli, Shemiramothi, Yehieli, Metithia, Eliabu, Benaya, Obed-edomu na Yehieli, aliwachagua wawe wapiga vinanda na vinubi. Asafu alipiga matoazi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asafu ndiye aliyekuwa mkuu wao, akisaidiwa na Zekaria, Yeieli, Shemiramothi, Yehieli, Matithia, Eliyabu, Benaya, Obed-Edomu na Yeieli. Hawa ndio ambao wangepiga zeze na vinubi, Asafu angelipiga matoazi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Asafu ndiye alikuwa mkuu wao, akisaidiwa na Zekaria, Yeieli, Shemiramothi, Yehieli, Matithia, Eliabu, Benaya, Obed-Edomu na Yeieli. Hawa ndio wangepiga zeze na vinubi, Asafu angepiga matoazi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asafu mkuu wao, na wa pili wake Zekaria, na Yeieli, na Shemiramothi, na Yehieli, na Metithia, na Eliabu, na Benaya, na Obed-edomu, na Yeieli, wenye vinanda na vinubi; naye Asafu mwenye kupiga matoazi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alimchagua Asafu kuwa kiongozi wao, akisaidiwa na Zekaria. Yeieli, Shemiramothi, Yehieli, Metithia, Eliabu, Benaya, Obed-edomu na Yehieli, aliwachagua wawe wapiga vinanda na vinubi. Asafu alipiga matoazi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndio mkuu Asafu na Zakaria aliyekuwa mkuu wa pili, tena Yieli na Semiramoti na Yehieli na Matitia na Eliabu na Benaya na Obedi-Edomu na Yieli, wavishike vyombo vya kuimbia, mapango na mazeze, naye Asafu ayapige matoazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asafu mkuu wao, na wa pili wake Zekaria, na Yeieli, na Shemiramothi, na Yehieli, na Matithiya, na Eliabu, na Benaya, na Obed-edomu, na Yeieli, wenye vinanda na vinubi; naye Asafu mwenye kupiga matoazi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akamuchagua Asafu kuwa kiongozi wao, akisaidiwa na Zekaria. Yeieli, Semiramoti, Yehieli, Metitia, Eliabu, Benaya, Obedi-Edomu na Yehieli, akawachagua wakuwe wapiga vinanda na vinubi. Asafu alipiga matoazi,