1 Chronicles 16:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nao makuhani Benania na Yaharieli, walichaguliwa wawe wakipiga tarumbeta mfululizo mbele ya sanduku la agano la Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nao Benaya na Yahazieli makuhani, ndio wangepiga tarumbeta mara kwa mara mbele ya Sanduku la Agano la Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nao makuhani Benaya na Yahazieli wenye baragumu daima, mbele ya sanduku la agano la Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nao makuhani Benania na Yaharieli, walichaguliwa wawe wakipiga tarumbeta mfululizo mbele ya sanduku la agano la Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nao Benaya na Yahazieli makuhani, ndio ambao wangelipiga tarumbeta mara kwa mara mbele ya Sanduku la Agano la Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nao Benaya na Yahazieli makuhani, ndio wangepiga tarumbeta mara kwa mara mbele ya Sanduku la Agano la Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nao makuhani Benaya na Yahazieli wenye baragumu daima, mbele ya sanduku la Agano la Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nao makuhani Benania na Yaharieli, walichaguliwa wawe wakipiga tarumbeta mfululizo mbele ya sanduku la agano la Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watambikaji Benaya na Yahazieli wapige matarumbeta siku zote mbele ya Sanduku la Agano la Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nao makuhani Benaya na Yahazieli wenye baragumu daima, mbele ya sanduku la agano la Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nao makuhani Benania na Yaharieli, wakachaguliwa wakuwe wakipiga baragumu kwa mufululizo mbele ya Sanduku la Agano la Mungu.