1 Chronicles 16:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, hiyo ikawa siku ambayo kwa mara ya kwanza, Daudi alimpa Asafu na ndugu zake Walawi wajibu wa kumwimbia Mwenyezi-Mungu nyimbo za shukrani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ile, kitu cha kwanza Daudi alichofanya ni kumkabidhi Asafu na wenzake zaburi hii ya shukrani kwa Mwenyezi Mungu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo siku hiyo Daudi alipoagiza kwanza kumshukuru Bwana, kwa mkono wa Asafu na nduguze.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, hiyo ikawa siku ambayo kwa mara ya kwanza, Daudi alimpa Asafu na ndugu zake Walawi wajibu wa kumwimbia Mwenyezi-Mungu nyimbo za shukrani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ile kitu cha kwanza Daudi alichofanya ni kumkabidhi Asafu na wenzake zaburi hii ya shukrani kwa BWANA:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ile, kitu cha kwanza Daudi alichofanya ni kumkabidhi Asafu na wenzake zaburi hii ya shukrani kwa bwana:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo siku hiyo Daudi alipoagiza kwanza kumshukuru BWANA, kwa mkono wa Asafu na nduguze.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, hiyo ikawa siku ambayo kwa mara ya kwanza, Daudi alimpa Asafu na ndugu zake Walawi wajibu wa kumwimbia Mwenyezi-Mungu nyimbo za shukrani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku hiyo ndipo, Dawidi alipoagiza kwanza kumshukuru Bwana kwa msaada wa Asafu na wa ndugu zake:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo siku hiyo Daudi alipoagiza kwanza kumshukuru BWANA, kwa mkono wa Asafu na nduguze.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, hiyo ikakuwa siku ambayo kwa mara ya kwanza, Daudi alimupa Asafu na wandugu zake Walawi kazi ya kumwimbia Yawe nyimbo za shukrani.