1 Chronicles 16:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mpeni shukrani Mwenyezi-Mungu, tangazeni ukuu wake, yajulisheni mataifa mambo aliyoyatenda!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mshukuruni Mwenyezi Mungu, liitieni jina lake; wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mshukuruni Bwana, liitieni jina lake; Wajulisheni watu matendo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpeni shukrani Mwenyezi-Mungu, tangazeni ukuu wake, yajulisheni mataifa mambo aliyoyatenda!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake, wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mshukuruni bwana, liitieni jina lake; wajulisheni mataifa yale aliyoyatenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake; Wajulisheni watu matendo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpeni shukrani Mwenyezi-Mungu, tangazeni ukuu wake, yajulisheni mataifa mambo aliyoyatenda!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mshukuruni Bwana, nalo Jina lake litambikieni! Yajulisheni makabila ya watu matendo yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mshukuruni BWANA, liitieni jina lake; Wajulisheni watu matendo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutangaze ukubwa wa Yawe, mujulishe mataifa mambo aliyoyatenda!