1 Chronicles 17:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bali nitamwimarisha katika nyumba yangu na katika ufalme wangu milele, na kiti chake cha enzi kitakuwa imara daima.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamweka juu ya nyumba yangu na ufalme wangu milele; kiti chake cha utawala nitakiimarisha milele.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ila nitamstarehesha katika nyumba yangu na katika ufalme wangu milele; na kiti chake cha enzi kitathibitishwa milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bali nitamwimarisha katika nyumba yangu na katika ufalme wangu milele, na kiti chake cha enzi kitakuwa imara daima.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamweka juu ya nyumba yangu na ufalme wangu milele, kiti chake cha enzi nitakifanya imara milele.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamweka juu ya nyumba yangu na ufalme wangu milele; kiti chake cha enzi nitakifanya imara milele.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ila nitamstarehesha katika nyumba yangu na katika ufalme wangu milele; na kiti chake cha enzi kitathibitishwa milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bali nitamwimarisha katika nyumba yangu na katika ufalme wangu milele, na kiti chake cha enzi kitakuwa imara daima.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitamsimamisha, awe nyumbani mwangu namo katika ufalme wangu kale na kale, nacho kiti chake cha kifalme kitakuwa kimesimamishwa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ila nitamstarehesha katika nyumba yangu na katika ufalme wangu milele; na kiti chake cha enzi kitathibitishwa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nitamwimarisha katika nyumba yangu na katika ufalme wangu milele, na kiti chake cha kifalme kitakuwa imara siku zote.”