1 Chronicles 17:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nathani akamwambia Daudi, “Fanya chochote unachofikiria moyoni mwako, kwa kuwa Mungu yu pamoja nawe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nathani akamjibu Daudi, “Lolote ulilo nalo moyoni mwako litende, kwa maana Mungu yu pamoja nawe.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Nathani akamwambia Daudi, Haya, fanya yote yaliyomo moyoni mwako; kwa maana Mungu yu pamoja nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nathani akamwambia Daudi, “Fanya chochote unachofikiria moyoni mwako, kwa kuwa Mungu yu pamoja nawe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nathani akamjibu Daudi, “Lo lote ulilo nalo moyoni mwako litende, kwa sababu Mungu yuko pamoja na wewe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nathani akamjibu Daudi, “Lolote ulilo nalo moyoni mwako litende, kwa maana Mungu yu pamoja nawe.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Nathani akamwambia Daudi, Haya, fanya yote yaliyomo moyoni mwako; kwa maana Mungu yu pamoja nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nathani akamwambia Daudi, “Fanya chochote unachofikiria moyoni mwako, kwa kuwa Mungu yu pamoja nawe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Natani akamwambia Dawidi: Yote yaliyomo moyoni mwako yafanye! Kwani Mungu yuko pamoja na wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Nathani akamwambia Daudi, Haya, fanya yote yaliyomo moyoni mwako; kwa maana Mungu yu pamoja nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Natani akamwambia Daudi: “Ufanye chochote unachofikiri ndani ya moyo wako, maana Mungu yuko pamoja nawe.”