1 Chronicles 17:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata umejifanyia watu wako wa Israeli kuwa watu wako milele; nawe ee Mwenyezi-Mungu, umekuwa Mungu wao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliwafanya watu wako Israeli kuwa watu wako wewe mwenyewe milele, nawe, Ee Mwenyezi Mungu, umekuwa Mungu wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana watu wako Israeli ndio uliowafanya kuwa watu wako wa milele; nawe, Bwana, umekuwa Mungu wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata umejifanyia watu wako wa Israeli kuwa watu wako milele; nawe ee Mwenyezi-Mungu, umekuwa Mungu wao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliwafanya watu wako Israeli kuwa watu wako wewe mwenyewe milele, nawe, Ee BWANA Mungu, umekuwa Mungu wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliwafanya watu wako Israeli kuwa watu wako wewe mwenyewe milele, nawe, Ee bwana Mwenyezi Mungu, umekuwa Mungu wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana watu wako Israeli ndio uliowafanya kuwa watu wako wa milele; nawe, BWANA, umekuwa Mungu wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata umejifanyia watu wako wa Israeli kuwa watu wako milele; nawe ee Mwenyezi-Mungu, umekuwa Mungu wao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukaupa ukoo wako wa Waisiraeli kuwa ukoo wako kale na kale, wewe Bwana ukawa Mungu wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana watu wako Israeli ndio uliowafanya kuwa watu wako wa milele; nawe, BWANA, umekuwa Mungu wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata ukajifanyia watu wako Waisraeli kuwa watu wako milele; nawe ee Yawe, umekuwa Mungu wao.