1 Chronicles 17:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Basi sasa, ewe Mwenyezi-Mungu, liimarishe milele neno lako ulilosema kunihusu mimi mtumishi wako na kuhusu jamaa yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Basi sasa, Ee Mwenyezi Mungu, ahadi uliyoweka kuhusu mtumishi wako na nyumba yake, na uithibitishe milele. Fanya kama ulivyoahidi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, Ee Bwana, neno lile ulilolinena katika habari za mtumwa wako, na katika habari za nyumba yake, na lifanywe imara milele, ukafanye kama ulivyosema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Basi sasa, ewe Mwenyezi-Mungu, liimarishe milele neno lako ulilosema kunihusu mimi mtumishi wako na kuhusu jamaa yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sasa basi, BWANA ahadi uliyoweka kuhusu mtumishi wako na nyumba yake na uithibitishe milele. Fanya kama ulivyoahidi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sasa basi, bwana ahadi uliyoweka kuhusu mtumishi wako na nyumba yake na uithibitishe milele. Fanya kama ulivyoahidi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, Ee BWANA, neno lile ulilolinena kuhusu mtumishi wako, na kuhusu nyumba yake, na lifanywe imara milele, ukafanye kama ulivyosema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Basi sasa, ewe Mwenyezi-Mungu, liimarishe milele neno lako ulilosema kunihusu mimi mtumishi wako na kuhusu jamaa yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa Bwana, neno hili, ulilolisema la mtumishi wako na la mlango wake, liwe limeshupaa kale na kale, ukifanya, kama ulivyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, Ee BWANA, neno lile ulilolinena katika habari za mtumwa wako, na katika habari za nyumba yake, na lifanywe imara milele, ukafanye kama ulivyosema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Basi sasa, ewe Yawe, uimarishe milele neno lako ulilosema juu yangu mimi mutumishi wako na juu ya jamaa yangu.