1 Chronicles 17:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nalo jina lako litatukuzwa milele, nao watu watasema, ‘Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, ndiye Mungu wa Israeli!’ Na jamaa yangu, mimi Daudi mtumishi wako, itaimarika mbele yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili ithibitike na jina lako litakuwa kuu milele. Kisha watu watasema, ‘Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, Mungu aliye juu ya Israeli, ndiye Mungu wa Israeli.’ Nayo nyumba ya mtumishi wako Daudi itafanywa imara mbele zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jina lako na liwe imara, likatukuzwe milele, kusema, Bwana wa majeshi ndiye Mungu wa Israeli, naam, Mungu juu ya Israeli; na hiyo nyumba ya Daudi mtumwa wako imefanywa imara mbele zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nalo jina lako litatukuzwa milele, nao watu watasema, ‘Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, ndiye Mungu wa Israeli!’ Na jamaa yangu, mimi Daudi mtumishi wako, itaimarika mbele yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili ithibitike na jina lako litakuwa kuu milele. Kisha watu watasema, ‘BWANA Mungu Mwenye Nguvu Zote, Mungu aliye juu ya Israeli, ndiye Mungu wa Israeli.’ Nayo nyumba ya mtumishi wako Daudi itafanywa imara mbele zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili ithibitike na jina lako litakuwa kuu milele. Kisha watu watasema, ‘ bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, Mungu aliye juu ya Israeli, ndiye Mungu wa Israeli.’ Nayo nyumba ya mtumishi wako Daudi itafanywa imara mbele zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jina lako na liwe imara, likatukuzwe milele, kusema, BWANA wa majeshi ndiye Mungu wa Israeli, naam, Mungu juu ya Israeli; na hiyo nyumba ya Daudi mtumwa wako imefanywa imara mbele zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nalo jina lako litatukuzwa milele, nao watu watasema, ‘Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa Israeli, ndiye Mungu wa Israeli!’ Na jamaa yangu, mimi Daudi mtumishi wako, itaimarika mbele yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Jina lako litakavyokuwa limeshupaa kwa kuwa kubwa kale na kale kwamba: Bwana Mwenye vikosi, Mungu wa Isiraeli, ni Mungu wa Isiraeli kweli, tena ndivyo, mlango wa mtumishi wako Dawidi utakavyokuwa wenye nguvu mbele yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jina lako na liwe imara, likatukuzwe milele, kusema, BWANA wa majeshi ndiye Mungu wa Israeli, naam, Mungu juu ya Israeli; na hiyo nyumba ya Daudi mtumwa wako imefanywa imara mbele zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nalo jina lako litatukuzwa milele, nao watu watasema: ‘Yawe wa majeshi, Mungu wa Israeli, ndiye Mungu juu ya Israeli!’ Na jamaa yangu, mimi Daudi mutumishi wako, itaimarishwa mbele yako.