1 Chronicles 17:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa ee Mwenyezi-Mungu, wewe ndiwe Mungu, umeniahidi mimi mtumishi wako jambo hili jema;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, wewe ndiwe Mungu! Umemwahidi mtumishi wako mambo haya mazuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na sasa, Ee Bwana, wewe ndiwe Mungu, nawe umemwahidia mtumwa wako jambo hili jema;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa ee Mwenyezi-Mungu, wewe ndiwe Mungu, umeniahidi mimi mtumishi wako jambo hili jema;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, wewe ndiwe Mungu! Umemwahidi mtumishi wako mambo haya mazuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, wewe ndiwe Mungu! Umemwahidi mtumishi wako mambo haya mazuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na sasa, Ee BWANA, wewe ndiwe Mungu, nawe umemwahidia mtumishi wako jambo hili jema;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa ee Mwenyezi-Mungu, wewe ndiwe Mungu, umeniahidi mimi mtumishi wako jambo hili jema;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa Bwana, wewe ndiwe Mungu; hayo mema, uliyomwambia mtumishi wako, na yapate kuwa. Sasa na ikupendeze kuubariki mlango wa mtumishi wako, uwepo kale na kale usoni pako! Kwani unayoyabariki wewe, Bwana, huwa yamebarikiwa kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na sasa, Ee BWANA, wewe ndiwe Mungu, nawe umemwahidia mtumwa wako jambo hili jema;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa ee Yawe, wewe ndiwe Mungu, umeniahidi mimi mutumishi wako jambo hili jema.