1 Chronicles 17:27 — Compare Translations
10 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwa hiyo nakuomba uibariki nyumba yangu, mimi mtumishi wako, ili idumu milele mbele yako; kwani unachobariki wewe, huwa kimebarikiwa milele.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi imekupendeza kuibariki nyumba ya mtumishi wako, ili idumu milele machoni pako; kwa ajili yako, Ee Mwenyezi Mungu, umeibariki, nayo itabarikiwa milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nawe sasa umekuwa radhi kuibarikia nyumba ya mtumwa wako, ipate kudumu milele mbele zako; kwa maana wewe, Bwana, umebarikia, nayo imebarikiwa milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwa hiyo nakuomba uibariki nyumba yangu, mimi mtumishi wako, ili idumu milele mbele yako; kwani unachobariki wewe, huwa kimebarikiwa milele.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi imekupendeza kuibariki nyumba ya mtumishi wako, ili ipate kudumu milele machoni pako, kwa ajili yako, Ee BWANA, umeibariki, nayo itabarikiwa milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi imekupendeza kuibariki nyumba ya mtumishi wako, ili idumu milele machoni pako; kwa ajili yako, Ee bwana, umeibariki, nayo itabarikiwa milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nawe sasa umekuwa radhi kuibarikia nyumba ya mtumishi wako, ipate kudumu milele mbele zako; kwa maana wewe, BWANA, umeibariki, nayo imebarikiwa milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwa hiyo nakuomba uibariki nyumba yangu, mimi mtumishi wako, ili idumu milele mbele yako; kwani unachobariki wewe, huwa kimebarikiwa milele.”
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nawe sasa umekuwa radhi kuibarikia nyumba ya mtumwa wako, ipate kudumu milele mbele zako; kwa maana wewe, BWANA, umebarikia, nayo imebarikiwa milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo ninakuomba ubariki wazao wangu, mimi mutumishi wako, kusudi wadumu milele mbele yako; maana unapobariki, baraka zako zinadumu milele.”