1 Chronicles 17:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu: Wewe hutanijengea mimi nyumba ili nikae humo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nenda, kamwambie mtumishi wangu, Daudi, Bwana asema hivi, Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, hili ndilo asemalo BWANA, ‘Wewe hutanijengea mimi nyumba ili nikae humo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Hili ndilo asemalo bwana: Wewe hutanijengea mimi nyumba ili nikae humo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nenda, kamwambie mtumishi wangu, Daudi, BWANA asema hivi, Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nenda ukamwambie mtumishi wangu Daudi, ‘Mwenyezi-Mungu anasema hivi: Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenda, umwambie mtumishi wangu Dawidi: Hivi ndivyo, Bwana anavyosema: Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nenda, kamwambie mtumishi wangu, Daudi, BWANA asema hivi, Wewe hutanijengea nyumba ya kukaa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Kwenda umwambie mutumishi wangu Daudi: Yawe anasema hivi: Wewe hautanijengea nyumba ya kukaa.