1 Chronicles 18:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya hayo, mfalme Daudi aliwashinda na kuwatiisha Wafilisti. Akauteka mji wa Gathi pamoja na vijiji vyake walivyomiliki Wafilisti.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya muda, Daudi akawashinda Wafilisti na kuwatiisha, naye akatwaa Gathi pamoja na vijiji vinavyouzunguka kutoka utawala wa Wafilisti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa baadaye, Daudi akawapiga Wafilisti, akawashinda, akautwaa Gathi na vijiji vyake mikononi mwa Wafilisti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya hayo, mfalme Daudi aliwashinda na kuwatiisha Wafilisti. Akauteka mji wa Gathi pamoja na vijiji vyake walivyomiliki Wafilisti.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya muda, Daudi akawashinda Wafilisti na kuwatiisha, akautwaa Gathi pamoja na vijiji vinavyouzunguka kutoka katika utawala wa Wafilisti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya muda, Daudi akawashinda Wafilisti na kuwatiisha, naye akautwaa Gathi pamoja na vijiji vinavyouzunguka kutoka utawala wa Wafilisti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa baadaye, Daudi akawapiga Wafilisti, akawashinda, akautwaa Gathi na vijiji vyake mikononi mwa Wafilisti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya hayo, mfalme Daudi aliwashinda na kuwatiisha Wafilisti. Akauteka mji wa Gathi pamoja na vijiji vyake walivyomiliki Wafilisti.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo yalipokwisha, Dawidi akawapiga Wafilisti, akawashinda, akauchukua Gati na vijiji vyake mikononi mwa Wafilisti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa baadaye, Daudi akawapiga Wafilisti, akawashinda, akautwaa Gathi na vijiji vyake mikononi mwa Wafilisti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya hayo, mufalme Daudi aliwashinda na kuwanyenyekeza Wafilistini. Akakamata muji wa Gati pamoja na vijiji vyake vilivyokuwa vya Wafilistini.