1 Chronicles 18:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zawadi hizo, mfalme Daudi aliziweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu pamoja na fedha na dhahabu aliyoiteka kutoka mataifa yote kutoka: Edomu, Moabu, Amoni, Filisti na Amaleki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Daudi akaviweka vifaa hivi wakfu kwa Mwenyezi Mungu, kama vile alivyokuwa amefanya kwa fedha na dhahabu aliyokuwa ameitwaa katika mataifa haya yote: Edomu na Moabu, Waamoni, Wafilisti na Waamaleki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivi pia mfalme Daudi akavifanya wakfu kwa Bwana, pamoja na hiyo fedha na dhahabu, aliyoteka nyara kwa mataifa yote; kwa Edomu, na kwa Moabu, na kwa wana wa Amoni, na kwa Wafilisti, na kwa Amaleki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zawadi hizo, mfalme Daudi aliziweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu pamoja na fedha na dhahabu aliyoiteka kutoka mataifa yote kutoka: Edomu, Moabu, Amoni, Filisti na Amaleki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Daudi akaviweka vifaa hivi wakfu kwa BWANA kama vile alivyokuwa amefanya kwa fedha na dhahabu aliyokuwa ameitwaa katika mataifa yote haya: Edomu na Moabu, Waamoni, Wafilisti na Waamaleki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Daudi akaviweka vifaa hivi wakfu kwa bwana kama vile alivyokuwa amefanya kwa fedha na dhahabu aliyokuwa ameitwaa katika mataifa yote haya: Edomu na Moabu, Waamoni, Wafilisti na Waamaleki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivi pia mfalme Daudi akaviweka wakfu kwa BWANA, pamoja na hiyo fedha na dhahabu, aliyoteka nyara kwa mataifa yote; kwa Edomu, na kwa Moabu, na kwa wana wa Amoni, na kwa Wafilisti, na kwa Amaleki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zawadi hizo, mfalme Daudi aliziweka wakfu kwa Mwenyezi-Mungu pamoja na fedha na dhahabu aliyoiteka kutoka mataifa yote kutoka: Edomu, Moabu, Amoni, Filisti na Amaleki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi navyo mfalme Dawidi akavitakasa kuwa mali za Bwana kama fedha na dhahabu, alizoziteka kwa mataifa yote, kwa Waedomu na kwa Wamoabu na kwa wana wa Amoni na kwa Wafilisti na kwa Waamaleki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivi pia mfalme Daudi akavifanya wakfu kwa BWANA, pamoja na hiyo fedha na dhahabu, aliyoteka nyara kwa mataifa yote; kwa Edomu, na kwa Moabu, na kwa wana wa Amoni, na kwa Wafilisti, na kwa Amaleki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zawadi zile, mufalme Daudi alizitakasa kwa ajili ya Yawe pamoja na feza na zahabu aliyonyanganya kwa mataifa yote, kutoka kwa: Waedomu, Wamoabu, Waamoni, Wafilistini na Waamaleki.