1 Chronicles 18:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abishai mwana wa Seruya, aliwaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abishai mwana wa Seruya akawaua Waedomu elfu kumi na nane katika Bonde la Chumvi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Abishai, mwana wa Seruya, akawapiga wa Waedomi katika Bonde la Chumvi watu kumi na nane elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abishai mwana wa Seruya, aliwaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abishai mwana wa Seruya akawaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abishai mwana wa Seruya akawaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Abishai, mwana wa Seruya, akawaua Waedomi elfu kumi na nane katika Bonde la Chumvi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abishai mwana wa Seruya, aliwaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Abisai, mwana wa Seruya, akawapiga Waedomu Bondeni kwa Chumvi, watu 18000.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Abishai, mwana wa Seruya, akawapiga wa Waedomi katika Bonde la Chumvi watu kumi na nane elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abisai mwana wa Zeruya, akaua Waedomu elfu kumi na nane katika Bonde la Chumvi.