1 Chronicles 18:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo Daudi akatawala juu ya Israeli yote, na akahakikisha ya kwamba watu wake wote wanatendewa haki na usawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akatawala juu ya Israeli wote; akawafanyia hukumu na haki watu wake wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo Daudi akatawala juu ya Israeli yote, na akahakikisha ya kwamba watu wake wote wanatendewa haki na usawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akatawala katika Israeli yote, akitenda lililo haki na lililo sawa kwa watu wake wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akawatawala Waisraeli wote; akawafanyia hukumu na haki watu wake wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo Daudi akatawala juu ya Israeli yote, na akahakikisha ya kwamba watu wake wote wanatendewa haki na usawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akawa mfalme wa Waisiraeli wote, akawatengenezea watu wake wote mashauri yaliyokuwa sawa, maana yaliongoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akatawala juu ya Israeli wote; akawafanyia hukumu na haki watu wake wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu Daudi akatawala juu ya Israeli yote. Aliimarisha haki na sheria ya Mungu kwa watu wote.