1 Chronicles 18:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yoabu, mwana wa Seruya alikuwa mkuu wa majeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mtunza kumbukumbu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi aliweka kumbukumbu;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Yoabu mwana wa Seruya akawa juu ya jeshi; na Yehoshafati mwana wa Ahiludi mwenye kuandika tarehe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yoabu, mwana wa Seruya alikuwa mkuu wa majeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mtunza kumbukumbu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yoabu, mwana wa Seruya alikuwa mkuu wa jeshi, Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mtunza kumbukumbu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yoabu mwana wa Seruya alikuwa jemadari wa jeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mweka kumbukumbu;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Yoabu mwana wa Seruya akawa mkuu wa jeshi; na Yehoshafati mwana wa Ahiludi mwenye kuandika tarehe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yoabu, mwana wa Seruya alikuwa mkuu wa majeshi; Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mtunza kumbukumbu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Yoabu, mwana wa Seruya, alikuwa mkuu wa vikosi, naye Yosafati, mwana wa Ahiludi, alikuwa mwandishi wa mambo yaliyopaswa kukumbukwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Yoabu mwana wa Seruya akawa juu ya jeshi; na Yehoshafati mwana wa Ahiludi mwenye kuandika tarehe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yoabu mwana wa Zeruya alikuwa jemadari wa makundi ya waaskari; Yehosafati mwana wa Ahiludi alikuwa mwandishi wa habari za kifalme;