1 Chronicles 18:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na Benaya, mwana wa Yehoyada alisimamia askari walinzi Wakerethi na Wapelethi; wana wa Daudi walikuwa maofisa wakuu katika utawala wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa msimamizi wa Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi walikuwa maafisa wakuu katika utumishi wa mfalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa juu ya Wakerethi na Wapelethi; na wana wa Daudi walikuwa wakuu kumzunguka mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na Benaya, mwana wa Yehoyada alisimamia askari walinzi Wakerethi na Wapelethi; wana wa Daudi walikuwa maofisa wakuu katika utawala wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
naye Benaya, mwana wa Yehoyada alisimamia Wakerethi na Wapelethi, nao wana wa Daudi walikuwa maafisa wakuu katika utumishi wa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
naye Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa msimamizi wa Wakerethi na Wapelethi; nao wana wa Daudi walikuwa maafisa wakuu katika utumishi wa mfalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa mkuu wa Wakerethi na Wapelethi; na wana wa Daudi walikuwa maofisa wakuu wa mfalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na Benaya, mwana wa Yehoyada alisimamia askari walinzi Wakerethi na Wapelethi; wana wa Daudi walikuwa maofisa wakuu katika utawala wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Benaya, mwana wa Yoyada, alikuwa mkuu wa Wakreti na wa Wapuleti, nao wana wa Dawidi walikuwa wa kwanza mkononi kwa mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa juu ya Wakerethi na Wapelethi; na wana wa Daudi walikuwa wakuu kumzunguka mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
na Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa mwangalizi wa waaskari walinzi wa Daudi; wana wa Daudi walikuwa na vyeo vikubwa katika utawala wake.