1 Chronicles 18:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliwashinda Wamoabu pia, wakawa watumishi wake na wakawa wanalipa kodi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia Daudi akawashinda Wamoabu, wakawa watumishi wake, nao wakawa wanamletea ushuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akapiga Moabu; na hao Wamoabi wakawa watumwa wa Daudi wakaleta zawadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliwashinda Wamoabu pia, wakawa watumishi wake na wakawa wanalipa kodi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akawashinda pia Wamoabu, wakawa watumishi wake, nao wakawa wanamletea ushuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia Daudi akawashinda Wamoabu, wakawa watumishi wake, nao wakawa wanamletea ushuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akapiga Moabu; na hao Wamoabi wakawa watumishi wa Daudi wakaleta zawadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliwashinda Wamoabu pia, wakawa watumishi wake na wakawa wanalipa kodi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawapiga nao Wamoabu, hao Wamoabu wakawa watumishi wa Dawidi, wakamletea mahongo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akapiga Moabu; na hao Wamoabi wakawa watumwa wa Daudi wakaleta zawadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akawashinda Wamoabu vilevile, wakakuwa watumishi wake na wakakuwa wanalipa kodi.