1 Chronicles 18:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alizichukua ngao za dhahabu walizobeba wanajeshi wa Hadadezeri, na kuzipeleka Yerusalemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akazitwaa ngao za dhahabu zilizokuwa za maafisa wa Hadadezeri na kuzileta Yerusalemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena Daudi akazitwaa ngao za dhahabu zilizovaliwa na watumishi wa Hadadezeri akazileta Yerusalemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alizichukua ngao za dhahabu walizobeba wanajeshi wa Hadadezeri, na kuzipeleka Yerusalemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akatwaa zile ngao za dhahabu zilizochukuliwa na maafisa wa Hadadezeri, akazileta Yerusalemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akazitwaa ngao za dhahabu zilizokuwa za maafisa wa Hadadezeri na kuzileta Yerusalemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena Daudi akazitwaa ngao za dhahabu zilizovaliwa na watumishi wa Hadadezeri akazileta Yerusalemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alizichukua ngao za dhahabu walizobeba wanajeshi wa Hadadezeri, na kuzipeleka Yerusalemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akazichukua ngao za dhahabu, watumishi wa Hadarezeri walizokuwa nazo, akazipeleka Yerusalemu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena Daudi akazitwaa ngao za dhahabu zilizovaliwa na watumishi wa Hadadezeri akazileta Yerusalemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alitwaa ngao za zahabu ambazo waaskari wa Hadadezeri walizobeba, na kuzipeleka Yerusalema.