1 Chronicles 19:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikawa baada ya hayo Nahashi, mfalme wa Waamoni akafariki; naye mwanawe akashika utawala.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya muda, Nahashi mfalme wa Waamoni akafa, na mwanawe akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa baada ya hayo, Nahashi, mfalme wa wana wa Amoni, akafa, akamiliki mwanawe mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikawa baada ya hayo Nahashi, mfalme wa Waamoni akafariki; naye mwanawe akashika utawala.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya muda, Nahashi mfalme wa Waamoni akafa, mwanawe akaingia mahali pake kuwa mfalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya muda, Nahashi mfalme wa Waamoni akafa, mwanawe akaingia mahali pake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa baada ya hayo, Nahashi, mfalme wa wana wa Amoni, akafa, akatawala mwanawe mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikawa baada ya hayo Nahashi, mfalme wa Waamoni akafariki; naye mwanawe akashika utawala.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo yalipokwisha, akafa Nahasi, mfalme wa wana wa Amoni, naye mwanawe akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa baada ya hayo, Nahashi, mfalme wa wana wa Amoni, akafa, akamiliki mwanawe mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya hayo, Nahasi mufalme wa Waamoni akakufa, na mwana wake Hanuni akatawala kwa pahali pake.