1 Chronicles 19:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Waaramu walipoona ya kwamba wameshindwa na Waisraeli, walituma wajumbe waende kuwaleta Waaramu wengine waliokuwa ngambo ya mto Eufrate wakiongozwa na Shofaki, kamanda wa jeshi la Hadadezeri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Waaramu kuona kwamba wameshindwa na Israeli, wakapeleka wajumbe na kuwataka Waaramu wengine kutoka ng’ambo ya Mto, wakiongozwa na Shofaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Washami walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, wakapeleka wajumbe, wakawavuta Washami walioko ng'ambo ya Mto, na Shobaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri, akawaongoza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Waaramu walipoona ya kwamba wameshindwa na Waisraeli, walituma wajumbe waende kuwaleta Waaramu wengine waliokuwa ng'ambo ya mto Eufrate wakiongozwa na Shofaki, kamanda wa jeshi la Hadadezeri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Waaramu kuona kwamba wamefukuzwa na Israeli, wakapeleka wajumbe na kuwataka Waaramu wengine kutoka ng'ambo ya Mto Eufrati, wakiongozwa na Shofaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Waaramu kuona kwamba wameshindwa na Israeli, wakapeleka wajumbe na kuwataka Waaramu wengine kutoka ng’ambo ya Mto Frati, wakiongozwa na Shofaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Washami walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, wakatuma wajumbe, wakawaleta Washami walioko ng'ambo ya Mto, na Shobaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri, akawaongoza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Waaramu walipoona ya kwamba wameshindwa na Waisraeli, walituma wajumbe waende kuwaleta Waaramu wengine waliokuwa ngambo ya mto Eufrate wakiongozwa na Shofaki, kamanda wa jeshi la Hadadezeri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Washami walipoona, ya kuwa wameshindwa nao Waisiraeli, wakatuma wajumbe, wakawaita Washami walioko ng'ambo ya huko ya jito hilo, waje vitani, naye Sofaki, mkuu wa vikosi vya Hadarezeri, akawaongoza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Washami walipojiona kuwa wameshindwa mbele ya Israeli, wakapeleka wajumbe, wakawavuta Washami walioko ng’ambo ya Mto, na Shobaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri, akawaongoza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Waaramu walipoona kwamba wameshindwa na Waisraeli, wakatuma wajumbe waende kuwaleta Waaramu wengine waliokuwa ngambo ya muto Furati wakiongozwa na Sofaki, jemadari wa jeshi la Hadadezeri.