1 Chronicles 19:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi Hanuni aliwachukua wajumbe hao wa Daudi, akawanyoa ndevu na kuzipasua nguo zao katikati hadi matakoni, kisha akawatoa waende zao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Hanuni akawakamata watu wa Daudi, akawanyoa ndevu, akakata nguo zao katikati kwenye matako, akawaachia waende zao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Hanuni akawatwaa watumishi wa Daudi, akawanyoa, akawakatia nguo zao katikati, hata matakoni, akawatoa waende zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi Hanuni aliwachukua wajumbe hao wa Daudi, akawanyoa ndevu na kuzipasua nguo zao katikati hadi matakoni, kisha akawatoa waende zao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Hanuni akawakamata wale watu wa Daudi, akawanyoa ndevu akakata nguo zao katikati kwenye matako, akawaondoa waende zao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Hanuni akawakamata watu wa Daudi, akawanyoa ndevu akakata nguo zao katikati kwenye matako, akawaacha waende zao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Hanuni akawatwaa watumishi wa Daudi, akawanyoa, akawapasulia nguo zao katikati, hadi kiunoni, kisha akawaachilia waondoke.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi Hanuni aliwachukua wajumbe hao wa Daudi, akawanyoa ndevu na kuzipasua nguo zao katikati hadi matakoni, kisha akawatoa waende zao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Hanuni alipowakamata watumishi wa Dawidi, akawanyoa nywele, akawakatia mavazi yao nusu kuyafikisha matako yao, kisha wakawapa ruhusa kwenda zao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Hanuni akawatwaa watumishi wa Daudi, akawanyoa, akawakatia nguo zao katikati, hata matakoni, akawatoa waende zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi Hanuni aliwatwaa wajumbe wale wa Daudi, akawanyoa ndevu na kupasua nguo zao katikati mpaka kwenye matako, kisha akawaacha waende zao,