1 Chronicles 2:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Israeli alikuwa na wana wa kiume kumi na wawili: Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zebuluni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa wana wa Israeli: Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zabuloni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawa ndio wana wa Israeli; Reubeni, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Israeli alikuwa na wana wa kiume kumi na wawili: Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zebuluni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio waliokuwa wana wa Israeli: Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zabuloni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio waliokuwa wana wa Israeli: Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zabuloni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa ndio wana wa Israeli; Reubeni, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Israeli alikuwa na wana wa kiume kumi na wawili: Reubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zebuluni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli ndio hawa: Rubeni, Simeoni, Lawi na Yuda, Isakari na Zebuluni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawa ndio wana wa Israeli; Reubeni, na Simeoni, na Lawi, na Yuda, na Isakari, na Zabuloni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Israeli walikuwa: Rubeni, Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari, Zebuluni,