1 Chronicles 2:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ramu alimzaa Aminadabu, Aminadabu akamzaa Nashoni, mkuu wa kabila la Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ramu alimzaa Aminadabu, naye Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Ramu akamzaa Aminadabu; na Aminadabu akamzaa Nashoni, mkuu wa wana wa Yuda;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ramu alimzaa Aminadabu, Aminadabu akamzaa Nashoni, mkuu wa kabila la Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ramu alimzaa Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ramu alimzaa Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Ramu akamzaa Aminadabu; na Aminadabu akamzaa Nashoni, mkuu wa wana wa Yuda;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ramu alimzaa Aminadabu, Aminadabu akamzaa Nashoni, mkuu wa kabila la Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Ramu akamzaa Aminadabu, naye Aminadabu akamzaa Nasoni aliyekuwa mkuu wa wana wa Yuda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Ramu akamzaa Aminadabu; na Aminadabu akamzaa Nashoni, mkuu wa wana wa Yuda;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ramu alizaa Aminadabu, Aminadabu alizaa Nasoni, mukubwa wa kabila la Yuda. Nasoni alizaa Salma, Salma alizaa Boazi, Boazi alizaa Obedi, Obedi alizaa Yese.