1 Chronicles 2:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yese aliwazaa Eliabu, mwanawe wa kwanza, wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yese akawazaa Eliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na Yese akamzaa Eliabu, mzaliwa wake wa kwanza, na wa pili Abinadabu, na wa tatu Shama;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yese aliwazaa Eliabu, mwanawe wa kwanza, wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yese akawazaa Eliyabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimei,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yese akawazaa Eliabu mwanawe wa kwanza; wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na Yese akamzaa Eliabu, mzaliwa wake wa kwanza, na wa pili Abinadabu, na wa tatu Shama;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yese aliwazaa Eliabu, mwanawe wa kwanza, wa pili Abinadabu, wa tatu Shimea,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
naye Isai akamzaa mwanawe wa kwanza Eliabu na wa pili Abinadabu na wa tatu Simea,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na Yese akamzaa Eliabu, mzaliwa wake wa kwanza, na wa pili Abinadabu, na wa tatu Shama;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yese alizaa: Eliabu, muzaliwa wake wa kwanza, wa pili Abinadabu, wa tatu Simea,