1 Chronicles 2:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abigaili alimzaa Amasa ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Abigaili alikuwa mama yake Amasa, ambaye baba yake alikuwa Yetheri Mwishmaeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Abigaili akamzaa Amasa; na babaye Amasa ni Yetheri, Mwishmaeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abigaili alimzaa Amasa ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Abigaili alikuwa mama yake Amasa, ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Abigaili alikuwa mama yake Amasa, ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Abigaili akamzaa Amasa; na babaye Amasa ni Yetheri, Mwishmaeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abigaili alimzaa Amasa ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Abigaili akamzaa Amasa, naye babake Amasa ni Mwisimaeli Yeteri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Abigaili akamzaa Amasa; na babaye Amasa ni Yetheri, Mwishmaeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abigaili alikuwa baba ya Amasa ambaye baba yake alikuwa Yeteri, Mwisimaeli.