1 Chronicles 2:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kalebu, mwana wa Hesroni, kutokana na wake zake wawili, Azuba na Yeriothi, aliwazaa Yesheri, Shaobabu na Ardoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Kalebu, mwana wa Hesroni, akazaliwa wana na mkewe Azubu, na Yeriothi, na hawa ndio wanawe wa kiume; Yesheri, na Shobabu, na Ardoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kalebu, mwana wa Hesroni, kutokana na wake zake wawili, Azuba na Yeriothi, aliwazaa Yesheri, Shaobabu na Ardoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Kalebu, mwana wa Hesroni, akazaliwa wana na mkewe Azuba, na Yeriothi, na hawa ndio wanawe wa kiume; Yesheri, na Shobabu, na Ardoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kalebu, mwana wa Hesroni, kutokana na wake zake wawili, Azuba na Yeriothi, aliwazaa Yesheri, Shaobabu na Ardoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Kalebu, mwana wa Hesironi, akazaa wana naye mkewe Azuba naye Yerioti; nao wanawe huyo ni hawa: Yeseri na Sobabu na Ardoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Kalebu, mwana wa Hesroni, akazaliwa wana na mkewe Azubu, na Yeriothi, na hawa ndio wanawe wa kiume; Yesheri, na Shobabu, na Ardoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kalebu mwana wa Hesironi, kutoka kwa bibi zake wawili Azuba na Yerioti, alizaa: Yeseri, Sobabu na Ardoni.