1 Chronicles 2:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Azuba alipofariki, Kalebu alimwoa Efratha aliyemzalia Huri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrata, aliyemzalia Huri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafa Azuba, naye Kalebu akamtwaa Efrathi, aliyemzalia Huri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Azuba alipofariki, Kalebu alimwoa Efratha aliyemzalia Huri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafa Azuba, naye Kalebu akamtwaa Efrata, aliyemzalia Huri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Azuba alipofariki, Kalebu alimwoa Efratha aliyemzalia Huri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Azuba alipokufa, Kalebu akamchukua Efurati, naye akamzalia Huri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafa Azuba, naye Kalebu akamtwaa Efrathi, aliyemzalia Huri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Azuba alipokufa, Kalebu akaoa Efurata aliyemuzalia Huri.