1 Chronicles 2:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huri alimzaa Uri, naye Uri akamzaa Besaleli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huri akamzaa Uri, naye Uri akamzaa Bezaleli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Huri akamzaa Uri; na Uri akamzaa Besaleli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huri alimzaa Uri, naye Uri akamzaa Besaleli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huri akamzaa Uri, Uri akamzaa Bezaleli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huri akamzaa Uri, Uri akamzaa Bezaleli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Huri akamzaa Uri; na Uri akamzaa Besaleli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huri alimzaa Uri, naye Uri akamzaa Besaleli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Huri akamzaa Uri, naye Uri akamzaa Besaleli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Huri akamzaa Uri; na Uri akamzaa Besaleli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Huri alikuwa baba ya Uri, naye Uri alizaa Besaleli.