1 Chronicles 2:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hesroni alipokuwa na umri wa miaka sitini, alimwoa binti Makiri, dada yake Gileadi. Huyo alimzalia mwana jina lake Segubu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatimaye, Hesroni alipokuwa na umri wa miaka sitini, alimwoa binti Makiri, babaye Gileadi. Akakutana kimwili naye, akamzalia Segubu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na baadaye Hesroni akamwingilia binti wa Makiri, babaye Gileadi; ambaye alimtwaa alipokuwa mwenye miaka sitini; naye akamzalia Segubu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hesroni alipokuwa na umri wa miaka sitini, alimwoa binti Makiri, dada yake Gileadi. Huyo alimzalia mwana jina lake Segubu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatimaye, Hesroni akakutana kimwili na binti wa Makiri babaye Gileadi (ambaye alimwoa alipokuwa na umri wa miaka sitini), naye akamzaa Segubu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatimaye, Hesroni akakutana kimwili na binti wa Makiri babaye Gileadi (ambaye alimwoa alipokuwa na umri wa miaka sitini), naye akamzaa Segubu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na baadaye Hesroni akamwingilia binti wa Makiri, babaye Gileadi; ambaye alimtwaa alipokuwa na umri wa miaka sitini; naye akamzalia Segubu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hesroni alipokuwa na umri wa miaka sitini, alimwoa binti Makiri, dada yake Gileadi. Huyo alimzalia mwana jina lake Segubu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Halafu Hesironi akaingia kwa binti Makiri, babake Gileadi; naye akamchukua alipokuwa mwenye miaka 60, akamzalia Segubu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na baadaye Hesroni akamwingilia binti wa Makiri, babaye Gileadi; ambaye alimtwaa alipokuwa mwenye miaka sitini; naye akamzalia Segubu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hesironi alipokuwa na umri wa miaka makumi sita, akaoa binti ya Makiri, dada ya Gileadi. Huyu akamuzalia mwana jina lake Segubu.