1 Chronicles 2:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Segubu alimzaa Yairi ambaye alitawala miji mikubwa ishirini na mitatu katika nchi ya Gileadi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na tatu katika Gileadi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Segubu akamzaa Yairi, aliyekuwa mwenye miji ishirini na mitatu katika nchi ya Gileadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Segubu alimzaa Yairi ambaye alitawala miji mikubwa ishirini na mitatu katika nchi ya Gileadi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Segubu akamzaa Yairi, aliyekuwa mwenye miji ishirini na mitatu katika nchi ya Gileadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Segubu alimzaa Yairi ambaye alitawala miji mikubwa ishirini na mitatu katika nchi ya Gileadi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Segubu akamzaa Yairi; huyu Yairi akawa mwenye miji 23 katika nchi ya Gileadi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Segubu akamzaa Yairi, aliyekuwa mwenye miji ishirini na mitatu katika nchi ya Gileadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Segubu alizaa Yairi ambaye alitawala miji mikubwa makumi mbili na mitatu katika inchi ya Gileadi.