1 Chronicles 2:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya Hesroni kufariki, Kalebu alimwoa Efratha, mjane wa Hesroni, baba yake. Efratha alimzalia Kalebu mwana jina lake Ashuri, aliyekuwa mwanzilishi wa mji wa Tekoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya Hesroni kufa huko Kalebu-Efrata, Abiya mjane wa Hesroni akamzalia Ashuru, aliye baba wa Tekoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena, baada ya kufa kwake Hesroni huko Kalebu-Efrata, ndipo Abia, mkewe Hesroni, alipomzalia Ashuri, babaye Teboa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya Hesroni kufariki, Kalebu alimwoa Efratha, mjane wa Hesroni, baba yake. Efratha alimzalia Kalebu mwana jina lake Ashuri, aliyekuwa mwanzilishi wa mji wa Tekoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya Hesroni kufa huko Efrathi, Abiya mjane wa Hesroni akamzalia Ashuru, aliye baba wa Tekoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya Hesroni kufa huko Efrathi, Abiya mjane wa Hesroni akamzalia Ashuru, aliye baba wa Tekoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena, baada ya kufa kwake Hesroni huko Kalebu-Efrata, ndipo Abia, mkewe Hesroni, alipomzalia Ashuri, babaye Teboa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya Hesroni kufariki, Kalebu alimwoa Efratha, mjane wa Hesroni, baba yake. Efratha alimzalia Kalebu mwana jina lake Ashuri, aliyekuwa mwanzilishi wa mji wa Tekoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hesironi alipokwisha kufa mle Kalebu-Efurata, ndipo, Abia, mkewe Hesironi, alipomzalia Ashuri, babake Tekoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena, baada ya kufa kwake Hesroni huko Kalebu-Efrata, ndipo Abia, mkewe Hesroni, alipomzalia Ashuri, babaye Teboa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya kufa kwa Hesironi, Kalebu akaoa Efurata, mujane wa baba yake Hesironi. Efurata akamuzalia Kalebu mwana jina lake Asuri, aliyekuwa mwanzilishi wa muji wa Tekoa.