1 Chronicles 2:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yerameeli alikuwa na mke mwingine jina lake Atara. Huyu alimzalia Yerameeli mwana, jina lake Onamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yerameeli alikuwa na mke mwingine, aliyeitwa Atara, aliyekuwa mama yake Onamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Yerameeli alikuwa na mke mwingine, jina lake Atara; yeye alikuwa mamaye Onamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yerameeli alikuwa na mke mwingine jina lake Atara. Huyu alimzalia Yerameeli mwana, jina lake Onamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yerameeli alikuwa na mke mwingine, aliyeitwa Atara, aliyekuwa mama yake Onamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yerameeli alikuwa na mke mwingine, aliyeitwa Atara, aliyekuwa mama yake Onamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Yerameeli alikuwa na mke mwingine, jina lake Atara; yeye alikuwa mamaye Onamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yerameeli alikuwa na mke mwingine jina lake Atara. Huyu alimzalia Yerameeli mwana, jina lake Onamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yerameli akawa na mke mwingine, jina lake Atara, naye ni mamake Onamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Yerameeli alikuwa na mke mwingine, jina lake Atara; yeye alikuwa mamaye Onamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yerameli alikuwa na muke mwingine jina lake Atara. Yeye akamuzalia Yerameli mwana, jina lake Onamu.