1 Chronicles 2:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Ramu, mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli, walikuwa Maasi, Yamini na Ekeri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Ramu mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli walikuwa: Maasi, Yamini na Ekeri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Ramu, mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli, walikuwa Maasi, na Yamini, na Ekeri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Ramu, mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli, walikuwa Maasi, Yamini na Ekeri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Ramu mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli walikuwa: Maasi, Yamini na Ekeri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Ramu mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli walikuwa: Maasi, Yamini na Ekeri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Ramu, mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli, walikuwa Maasi, na Yamini, na Ekeri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Ramu, mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli, walikuwa Maasi, Yamini na Ekeri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Ramu, mwanawe wa kwanza wa Yerameli, walikuwa: Masi na Yamini na Ekeri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Ramu, mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli, walikuwa Maasi, na Yamini, na Ekeri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Ramu, muzaliwa wa kwanza wa Yerameli, walikuwa: Masi, Yamini na Ekeri.