1 Chronicles 2:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Onamu walikuwa Shamai na Yada. Nao wana wa Shamai walikuwa Nadabu na Abishuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Onamu walikuwa: Shamai na Yada. Wana wa Shamai walikuwa: Nadabu na Abishuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Onamu walikuwa Shamai, na Yada; na wana wa Shamai; Nadabu, na Abishuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Onamu walikuwa Shamai na Yada. Nao wana wa Shamai walikuwa Nadabu na Abishuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Onamu walikuwa: Shamai na Yada. Wana wa Shamai walikuwa: Nadabu na Abishuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Onamu walikuwa: Shamai na Yada. Wana wa Shamai walikuwa: Nadabu na Abishuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Onamu walikuwa Shamai, na Yada; na wana wa Shamai; Nadabu, na Abishuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Onamu walikuwa Shamai na Yada. Nao wana wa Shamai walikuwa Nadabu na Abishuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Onamu walikuwa Samai na Yada; nao wana wa Samai ni Nadabu na Abisuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Onamu walikuwa Shamai, na Yada; na wana wa Shamai; Nadabu, na Abishuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Onamu walikuwa: Samayi na Yada. Nao wana wa Samayi walikuwa Nadabu na Abisuri.