1 Chronicles 2:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Abishuri alioa mke, jina lake Abihaili, naye akamzalia wana wawili: Abani na Molidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, aliyemzalia Abani na Molidi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mkewe Abishuri aliitwa jina lake Abihaili; naye akamzalia Abani, na Molidi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Abishuri alioa mke, jina lake Abihaili, naye akamzalia wana wawili: Abani na Molidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mke wa Abishuri aliitwa Abihali, ambaye alimzalia Abani na Molidi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, ambaye alimzalia Abani na Molidi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mkewe Abishuri aliitwa jina lake Abihaili; naye akamzalia Abani, na Molidi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Abishuri alioa mke, jina lake Abihaili, naye akamzalia wana wawili: Abani na Molidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nalo jina la mkewe Abisuri ni Abihaili, naye akamzalia Abani na Molidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mkewe Abishuri aliitwa jina lake Abihaili; naye akamzalia Abani, na Molidi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Abisuri akaoa muke, jina lake Abihaili, naye akamuzalia wana wawili: Abani na Molidi.