1 Chronicles 2:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Yuda waliozaliwa na Bethshua, mkewe Mkanaani, walikuwa Eri, Onani na Shela. Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, basi Mwenyezi-Mungu akamuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Yuda walikuwa: Eri, Onani na Shela. Hawa watatu walizaliwa kwake na mkewe Mkanaani, binti Shua. (Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa Mwenyezi Mungu, kwa hiyo Mwenyezi Mungu alimuua.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela; ambao hao watatu alizaliwa na binti Shua, Mkanaani. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa Bwana; naye akamwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Yuda waliozaliwa na Bethshua, mkewe Mkanaani, walikuwa Eri, Onani na Shela. Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, basi Mwenyezi-Mungu akamuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Yuda walikuwa: waliozaliwa kwake na mkewe Mkanaani, binti wa Shua: ni Eri, Onani na Shela. Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa BWANA kwa hiyo BWANA alimwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Yuda walikuwa: Eri, Onani na Shela. Hawa watatu walizaliwa kwake na mkewe Mkanaani, binti wa Shua. Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa bwana, kwa hiyo bwana alimuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela; ambao hao watatu alizaliwa na binti Shua, Mkanaani. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa BWANA; naye akamwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Yuda waliozaliwa na Bethshua, mkewe Mkanaani, walikuwa Eri, Onani na Shela. Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, basi Mwenyezi-Mungu akamuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Yuda: Eri na Onani na Sela; hawa watatu alizaliwa na Mkanaani binti Sua. Naye Eri, mwanawe wa kwanza wa Yuda, akawa mbaya machoni pa Bwana, kwa hiyo akamwua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela; ambao hao watatu alizaliwa na binti Shua, Mkanaani. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa BWANA; naye akamwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Yuda walikuwa watano: Wana wa Yuda aliozaliwa na Beti-Sua, muke wake Mukanana, walikuwa: Eri, Onanu na Sela. Eri, muzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Yawe, basi Yawe akamwua. Na Tamari, muke wake alimuzalia wana wawili: Peresi na Zera.