1 Chronicles 2:30 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana wa Nadabu walikuwa Seledi na Apaimu; lakini Seledi alifariki bila watoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Nadabu walikuwa Seledi na Apaimu, lakini Seledi alikufa bila kuzaa watoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Nadabu; Seledi, na Apaimu; walakini Seledi alikufa hana watoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana wa Nadabu walikuwa Seledi na Apaimu; lakini Seledi alifariki bila watoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Nadabu walikuwa Seledi na Apaimu, lakini Seledi alikufa bila kuzaa watoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Nadabu walikuwa Seledi na Apaimu, lakini Seledi alikufa bila kuzaa watoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Nadabu; Seledi, na Apaimu; lakini Seledi alipokufa hakuwa na watoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana wa Nadabu walikuwa Seledi na Apaimu; lakini Seledi alifariki bila watoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Nadabu ni Seledi na Apaimu; naye Seledi alipokufa hakuwa na wana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Nadabu; Seledi, na Apaimu; walakini Seledi alikufa hana watoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Nadabu walikuwa: Seledi na Apaimu. Seledi akakufa bila watoto.