1 Chronicles 2:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Apaimu alikuwa na mwana mmoja aliyeitwa Ishi. Ishi alimzaa Sheshani, na Sheshani akamzaa Alai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Apaimu akamzaa: Ishi aliyekuwa baba wa Sheshani. Sheshani akamzaa Alai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Apaimu; Ishi. Na wana wa Ishi; Sheshani. Na wana wa Sheshani; Alai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Apaimu alikuwa na mwana mmoja aliyeitwa Ishi. Ishi alimzaa Sheshani, na Sheshani akamzaa Alai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Apaimu akamzaa: Ishi ambaye alikuwa baba wa Sheshani. Sheshani akamzaa Alai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Apaimu akamzaa: Ishi ambaye alikuwa baba wa Sheshani. Sheshani akamzaa Alai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Apaimu; Ishi. Na wana wa Ishi; Sheshani. Na wana wa Sheshani; Alai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Apaimu alikuwa na mwana mmoja aliyeitwa Ishi. Ishi alimzaa Sheshani, na Sheshani akamzaa Alai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Apaimu: Isi; nao wana wa Isi: Sesani; nao wana wa Sesani: Alai.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Apaimu; Ishi. Na wana wa Ishi; Sheshani. Na wana wa Sheshani; Alai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wa Apaimu alikuwa: Isi. Mwana wa Isi: Sesani. Mwana wa Sesani: Alai.