1 Chronicles 2:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yada, nduguye Shamai, alikuwa na wana wawili: Yetheri na Yonathani. Lakini Yetheri alifariki bila watoto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa: Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Yada, nduguye Shamai; Yetheri, na Yonathani; naye Yetheri akafa hana watoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yada, nduguye Shamai, alikuwa na wana wawili: Yetheri na Yonathani. Lakini Yetheri alifariki bila watoto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa: Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa: Yetheri na Yonathani. Yetheri alikufa bila kuzaa watoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Yada, nduguye Shamai; Yetheri, na Yonathani; naye Yetheri alipokufa hakuwa na watoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yada, nduguye Shamai, alikuwa na wana wawili: Yetheri na Yonathani. Lakini Yetheri alifariki bila watoto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Yada, nduguye Samai: Yeteri na Yonatani; naye Yeteri alipokufa hakuwa na wana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Yada, nduguye Shamai; Yetheri, na Yonathani; naye Yetheri akafa hana watoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa wawili wa Yada, ndugu ya Samai: Yeteri na Yonatani. Yeteri alikufa bila watoto.