1 Chronicles 2:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonathani alikuwa na wana wawili: Pelethi na Zaza. Wote hao ni wazawa wa Yerameeli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Yonathani walikuwa: Pelethi na Zaza. Hao walikuwa wazao wa Yerameeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wana wa Yonathani; Pelethi, na Zaza. Hao ndio wana wa Yerameeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonathani alikuwa na wana wawili: Pelethi na Zaza. Wote hao ni wazawa wa Yerameeli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Yonathani walikuwa: Pelethi na Zaza. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yerameeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Yonathani walikuwa: Pelethi na Zaza. Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yerameeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wana wa Yonathani; Pelethi, na Zaza. Hao ndio wana wa Yerameeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonathani alikuwa na wana wawili: Pelethi na Zaza. Wote hao ni wazawa wa Yerameeli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Yonatani: Peleti na Zaza. Hawa walikuwa wana wa Yerameli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wana wa Yonathani; Pelethi, na Zaza. Hao ndio wana wa Yerameeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonatani alikuwa na wana wawili: Peleti na Zaza. Wote hawa ni wazao wa Yerameli.