1 Chronicles 2:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sheshani hakuwa na watoto wa kiume; alikuwa na binti tu. Hata hivyo, alikuwa na mtumwa wa Kimisri, jina lake Yarha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila watoto wa kike tu. Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi huyo Sheshani alikuwa hana wana wa kiume, ila binti. Naye Sheshani alikuwa na mtumwa, Mmisri, jina lake akiitwa Yarha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sheshani hakuwa na watoto wa kiume; alikuwa na binti tu. Hata hivyo, alikuwa na mtumwa wa Kimisri, jina lake Yarha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi huyo Sheshani alikuwa hana wana wa kiume, ila binti. Naye Sheshani alikuwa na mtumwa, Mmisri, jina lake akiitwa Yarha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sheshani hakuwa na watoto wa kiume; alikuwa na binti tu. Hata hivyo, alikuwa na mtumwa wa Kimisri, jina lake Yarha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sesani hakuwa na wana wa kiume, ila wa kike tu. Naye Sesani alikuwa na mtumwa wa Misri, jina lake Yariha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi huyo Sheshani alikuwa hana wana wa kiume, ila binti. Naye Sheshani alikuwa na mtumwa, Mmisri, jina lake akiitwa Yarha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sesani hakukuwa na watoto wa kiume; alikuwa na wabinti tu. Hata hivyo, alikuwa na mutumwa wa Mumisri, jina lake Yara.